Kama vile makosa ya Ahabu, mfalme wa
Israeli, mke wake Yezebeli, na manabii
wa uongo 850 yalivyofunuliwa Eliya
alipokabiliana nao kwenye Mlima Karmeli
katika karne ya 9 KK, leo, uongo pia
unafunuliwa kupitia ukweli ambao
Kristo Ahnsahnghong Aliurudisha. .
Kristo Ahnsahnghong Alikuja tena kama Eliya
kulingana na unabii wa Biblia naye Akaanzisha
Kanisa la Mungu, ambalo kwalo ushindi
wa wokovu umeamuliwa tangu zamani.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha