Pasaka si tu sikukuu ya kula kipande cha mkate na kunywa kikombe chenye divai. Ni siku kupokea ahadi ya wokovu kwa kupokea muhuri kama watoto wa Mungu na ni sikukuu ya tumaini, ambayo inatoa uzima wa milele kwa wanadamu ambao maisha yao ni ya muda.
Mungu Alikuja kushinda nguvu ya Shetani na kutoa uzima wa milele kwa watoto wa Mungu.
Katika Enzi ya Mwana ilikuwa ni Yesu tu, na katika Enzi ya Roho Mtakatifu ni Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama tu Waliwatolea wanadamu Pasaka ya Agano Jipya ambayo ina ahadi ya uzima wa milele.
Juu ya mlima huu BWANA Mwenye Nguvu Zote ataandaa karamu ya vinono kwa mataifa yote, karamu ya mvinyo wa zamani . . .yeye atameza mauti milele. . . . Katika siku ile watasema, “Hakika huyu ndiye Mungu wetu; tulimtumaini, naye akatuokoa.” Isaya 25:6–9
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha