Mungu husema, “Usiongeze wala
usipunguze maneno ya Biblia,” na katika
Biblia, imeandikwa kwamba watu wanaweza
kuokolewa wanapowaendea Roho na Bibi arusi,
ambao hutoa maji ya uzima.
Kwa hiyo, Kanisa la Mungu, linalomwamini
Mungu Roho Mtakatifu, Kristo Ahnsahnghong,
na Mungu Mama, ambaye ni Bibi arusi,
ndilo kanisa ambalo Mungu hupendezwa nalo
nalo litakalookolewa.
Mtume Paulo aliandika katika Biblia kwamba
watoto wa ahadi ni mabaki waliochaguliwa
kwa neema na kwamba wale ambao
wataokolewa ni watoto wa ahadi kama Isaki.
Ina maana kwamba wale wanaomwamini
Mungu Mama katika enzi ya Roho Mtakatifu
watakuwa watoto wa ahadi kama Isaki na
mabaki waliochaguliwa kwa neema ya
Mungu ili waweze kuokolewa.
Basi, sisi ndugu zangu, ni kama Isaki, tu
watoto wa ahadi.
Wagalatia 4:28
Isaya anapiga kelele kuhusu Israeli: “Ingawa
idadi ya wana wa Israeli ni wengi kama
mchanga wa pwani, ni mabaki yao tu
watakaookolewa.”
Warumi 9:27
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha