Mtume Yohana alipokea ufunuo kwenye kisiwa cha Patmo naye akatambua kwamba Mungu Anatawala juu ya ulimwengu wote na wanadamu.
Pia alishuhudia kwamba katika kanisa ambalo Mungu Anatawala, lazima awepo Mke wa Mwana-Kondoo pamoja na arusi ya Mwana-Kondoo.
Kanisa la Mungu ni kanisa ambapo Mwana-Kondoo na mke Wake, yaani, Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama, Wanatawala leo.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha