Kujaribiwa kwa Yesu na ibilisi baada ya kufunga kwa siku 40 kunatufundisha kwamba tunaweza kupokea wokovu pale tu tunapotoa utukufu kwa Mungu, na kwamba tutenda mbali na Mungu tunapojaribiwa na uchoyo kutoka kwa Shetani.
Kupitia mwisho wa Mfalme Herode na Mfalme Belshaza ambayo hawakumtazama Mungu, tunaweza kujifunza kwa nini ni muhimu sana kuwatambua na kuwatazama Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama katika enzi hii.
“Haleluya! Kwa maana Bwana Mungu wetu Mwenyezi anatawala. Tufurahi, tushangilie na kumpa utukufu!”
Ufunuo 19:6-7
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha