Akisema, “Kile apandacho mtu ndicho atakachovuna,” Mungu Alitufundisha kwamba baraka zinarudi kwetu pale tu tunaposema maneno ya baraka.
Kristo Ahnsahnghong Alianzisha Kanisa la Mungu kwa damu ya thamani iliyomwagwa msalabani.
Hivyo waumini wa Sayuni wanapaswa kumtukuza Mungu sikuzote na kupanda mbegu ya baraka ndani ya watu wanaotuzunguka kwa maneno yenye neema.
“Mtu mwema hutoa yaliyo mema kutoka hazina ya mambo mema yaliyohifadhiwa ndani yake, naye mtu mwovu hutoa yaliyo maovu kutoka hazina ya mambo maovu yaliyohifadhiwa ndani yake.
Lakini nawaambia, katika siku ya hukumu watu watatoa hesabu kuhusu kila neno lisilo maana walilonena.
Kwa maana kwa maneno yako utahesabiwa haki, na kwa maneno yako utahukumiwa.”
Mathayo 12:35–37
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha