Kanisa la Mungu, ambapo ukweli wa Pasaka unaotulinda dhidi ya maafa huadhimishwa, ni Sayuni.
Mungu Alitupa kimbilio katika kila enzi—safina kwa akina Noa, Soari kwa akina Loti, na Pella wakati wa kuharibiwa kwa Yerusalemu kwa wale waliloliamini neno Lake.
Hali kadhalika, katika enzi hii, Ametujalia Sayuni kama mahali pa wokovu ambapo wanadamu wanaweza kulindwa dhidi ya maafa.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha