Kanisa la Mungu, ambalo Petro na Paulo walihudhuria, lilianzishwa na Yesu nalo linatetea mafundisho halisi kutoka kwenye Enzi ya Kitume.
Kulingana na Biblia, kufuata mafundisho ya dini za Mataifa kama vile ibada ya Jumapili na Krismasi, na kutoishika Sabato na Pasaka za agano jipya ambazo Yesu Alianzisha, ni uzushi unaoongoza kwenye uharibifu.
Tunapotambua na kushika ukweli halisi wa Kanisa la mapema katika enzi hii, tunaweza kuwatambua Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama, Waokozi katika Enzi ya Roho Mtakatifu.
Lakini hata ikiwa sisi au malaika atokaye mbinguni akihubiri Injili nyingine tofauti na ile tuliyowahubiria sisi, basi mtu huyo alaaniwe milele! Wagalatia 1:8
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha